Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, June 18, 2013

VURUGU ZA ARUSHA WABUNGE WAWILI WASHIKILIWA MUDA HUU TAZAMA PICHA




Tundu Lissu na Mustafa Akunai wanashikiliwa na jeshi la polisi kwa sasa.Hii ni taarifa toka kwa kamanda wa mkoa wa Arusha Liberatusi Sabas akihojiwa na radio ya hapa jijini radio Sunrise fm..Kamanda Liberatusi amesema makosa ya Wabunge hao ni haya:

Mkusanyiko usio rasmi

Kufunga barabara

Kuwashambulia polisi

Kamanda amesema watashikiliwa na jeshi la polisi mpaka uchunguzi utakapo kamilika.Hilo ndilo linaloendea mpaka sasa.Hizi ni habari sahihi zilizotolewa na kamanda wa mkoa huu wa polisi Liberatus Sabasi.

No comments:

Post a Comment