Mkuu
wa kitengo cha uendeshaji wa mtandao wa Vodacom Tanzania,Bw.Andrew
Lupembe,akiwaonyesha mitungi ya gesi ya kisasa ambayo inatumika kuzima
moto wanafunzi wa chuo cha kijeshi cha mawasiliano cha jijini Dar es
Salaam, Wakati walipofanya ziara ya kimafunzo katika moja ya kituo
cha kurushia mawasiliano cha Vodacom kilichopo Oysterbay jijini Dar es
Salaam.
Mkuu wa kitengo cha maendeleo rasilimaliwatu wa Vodacom
Tanzania,Bw.Conrad Msoma,akielezea jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa
chuo cha kijeshi cha mawasiliano cha jijini Dar es Salaam,wakati
walipofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya Ofisi za Vodacom
Tanzania.
Mkuu
wa Idara ya uendeshaji- uhandisi wa Vodacom Tanzania,Bw.Andrew
Lupembe,akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa chuo cha kijeshi cha
mawasiliano cha jijini Dar es Salaam,wakati walipofanya ziara ya
kimafunzo makao makuu ya Ofisi za Vodacom Tanzania.
Mkuu wa Idara ya uendeshaji- uhandisi wa Vodacom Tanzania Bw.Andrew
Lupembe,akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa chuo cha kijeshi cha
mawasiliano cha jijini Dar es Salaam, baada ya kufika katika moja ya
kituo cha kurushia mawasiliano cha Vodacom kilichopo Oysterbay jijini
Dar es Salaam.Wakati walipofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya
kampuni hiyo.
Mkuu
wa Idara ya uendeshaji- uhandisi wa Vodacom Tanzania Bw.Andrew
Lupembe,akifafanua jambo kwa baadhi ya wanafunzi wa chuo cha kijeshi cha
mawasiliano cha jijini Dar es Salaam, baada ya kufika katika moja ya
kituo cha kurushia mawasiliano cha Vodacom kilichopo Oysterbay jijini
Dar es Salaam.Wakati walipofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya
kampuni hiyo.
Mkuu
wa Idara ya uendeshaji-uhandisi wa mtandao wa Vodacom
Tanzania,Bw.Andrew Lupembe,akiwaelezea jambo baadhi ya wanafunzi wa chuo
cha kijeshi cha mawasiliano cha jijini Dar es Salaam, Wakati
walipofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya kampuni hiyo.
Mkuu
wa kozi ya Mawasiliano wa jeshi la wananchi (JWT) katika Chuo cha
Mgulani jijini Dar es Salaam, Luteni Moshi Masawani akiuliza swali
njinsi Kampuni ya Vodacom inavyoendesha huduma ya mawasiliano, wakati
walipofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya Ofisi za Vodacom Tanzania
No comments:
Post a Comment