Waziri
wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Mhe.Dkt Fenella Mukangara
akivalishwa skafu na Mwanahamisi Haji(13) chipukizi wa Wilaya ya
Kinondoni wakati alipo kuwa mgeni rasmi katika semina elekezi kwa
watendaji wa UVCCM wilaya ya Kinondoni jana leo jijini Dar es SalaamJina la Mpiga picha ni FRANK SHIJA -MAELEZO. aziri
wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa NEC Dkt
Fenella Mukangara akiongea na Viongozi wa UVCCM wakati akifungua semina
elekezi kwa watendaji wa UVCCM wilaya ya Kinondoni jana jijini Dar es
Salaam Waziri
wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa NEC Dkt
Fenella Mukangara akipokea Risala ya UVCCM iliyoandaliwa na Katibu wa
UVCCM wilaya ya Kinondoni Issack Kalleiya.
Baadhi ya watendaji wa UVCCM wilaya ya Kinondoni wakisikilizi hotuba ya
ufunguzi wa semina yao iliyotolewa na mjumbe wa NEC na Waziri wa
Habari, Vijana Utamaduni na Michezo.Mhe.Dkt Fenella Mukangara
Waziri
wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo ambaye pia ni mjumbe wa NEC Dkt
Fenella Mukangara akikabidhi vifaa vya michezo kwa Katibu wa UWT kata ya
Ubungo Bi. Rose Ndunguru.Vifaa hivyo vimetokana na ombi maalum kwa
ajili ya ligi ya mpira wa Pete inayojulikana kama Rose Wasiri
Cup.Mashindano hayo yameanza leo jijini Dar es Salaam katika viwanja
vilivyoko Ubungo Msewe jijini Dar es Salaam.Jumla ya mipira tisa na seti
mbili za jezi zimekabidhiwa. Waziri

mbili za jezi zimekabidhiwa.
No comments:
Post a Comment