Saturday, July 13, 2013
ANGALIA PICHA::MBUNGE WA UBUNGO JOHN MNYIKA AMFARIJI PROFESA J KWA MSIBA WA MAMA YAKE MZAZI
Mbunge wa jimbo la Ubungo #JohnMnyika akiwasili nyumbani kwa Prof Jay Mbezi mwisho...amepita kuja kuwafariji wafiwa ambapo kesho ndio tutampumzisha mama katika makaburi ya Kinondoni majira ya saa 10 jioni..PICHA NA DJ CHOKA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



peopless power
ReplyDeleteMungu amlaze mahali pema peponi
ReplyDelete