Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 13, 2013

LIVE MATCH CENTRE: TANZANIA VS UGANDA (CHAN 2013)


Dk 19 Aggrey Morris wa Taifa Stars anafanyiwa madhambi na Edema Patrick
.Dk 16 SUB: Uganda wanafanya mabadiliko ametoka Odur Tonny ameingia Kalanda Frank.

Dk 15 Viungo wa Taifa Stars wanakosa umakini mbele ya wenzao wa Uganda huku wakipoteza pasi nyingi.

Dk 13 Uganda wanatawala mpira hasa katika kiungo.

Dk 11: Odur Tonny wa Uganda ameumia na mpira unasimama kwa muda ili atibiwe. Odur ameumia nyonga na anaomba kutoka nje.

DK 5: Timu bado zinaendelea kushambuliana zamu kwa zamu. 

 DK 1: Mpira umeanza hapa uwanja wa taifa na timu zikicheza mchezo wa kusomana taratibu kiasi.

VIKOSI VINAVYOANZA LEO

Taifa Stars; Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Shomari Kapombe, Aggrey Morris, Kelvin Yondani, Frank Domayo, Mwinyi Kazimoto, Salum Aboubakari 'Sure Boy', John Bocco, Mrisho Ngassa na Amri Kiemba.


Uganda; Muwonge Hamza, Waswa Hassan, Wadada Nico, Majegwa Brian, Kabugo Savio, Kasaga Richard, Iguma Dennis, Said Kyeyune, Mpande Joseph, Edema Patrick na Odur Tonny
KONA:Anapiga ngasa vizuri lakini tunakosagoliiiiii
ohhhhhh mrisho ngasa anakosa goli hapaaaaaaaaaaaaa shutilinaenda juuuuu 
Dk ya 28 badobila bila
FAULOO anapiga agrey morris anapiga vizurii lakini inatoka nje
DK ya 39 bdo bilabila
Goliki[awa ugandakaumia hapa
Golikipawa uganda kaamka tayari
DK ya 42 mpira unarushwahapa
Dakika 2 za nyongeza hapa
Mpirani mapumzikoooo
 Dk 87 Kiungo wa Uganda Kalanda anaumia na wakati huohuo Uganda inapata kona.

Dk 84 Iguma Dennis anamchezea faulo Mrisho Ngassa. Aggrey Morris anapiga faulo juu ya lango la Uganda. Taifa Stars 0-1 Uganda

Dk 81 YELLOW CARD! Majegwa Brian wa Uganda anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kubishana na mwamuzi akipinga filimbi ya kumchezea faulo Bocco.

Dakika 79: Amri Kiemba anapoteza nafasi ya wazi ya kusawazisha akiwa amebaki yeye na mlinda lango 

Dk 79 Kelvin Yondani wa Taifa Stars anaokoa mpira wa hatari uliokuwa unaelekea katika lango la timu yale na mpira unakuwa kona ambayo inapigwa kisha inaokolewa na mabeki wa Taifa Stars.

Dk 76 Mchezo unaendelea na tayari wachezaji wawili wa Taifa Stars ambao ni Athuman Idd Chuji na Khamis Mcha wanapasha misuli moto.

Dk 75 Kabugo Savio wa Uganda anagalagala chini baada ya kuumia na mwamuzi  anasimamisha mchezo ili Kabugo atibiwe.

Dk 74. SUB; Uganda inafanya mabadiliko anatoka Edema Patrick anaingia Ntege Ivan

Dk 71 Ngassa anaisumbua ngome ya Uganda lakini David Luhende anashindwa kuuwahi mpira anaopigiwa na Ngassa.

Dk 63 SUB; Taifa Stars inafanya mabadiliko ametoka Mwinyi Kazimoto ameingia Haruna Chanongo.

Dk 56 Mpira unapasuka baada ya Bocco kupiga mpira na beki wa Uganda akataka kuuzuia.

Dk 54 timu zinashambuliana kwa zamu. Kiungo cha Taifa Stars kinazidi kupwaya.

Dk 46 GOOOOOO....! Iguma Dennis anaipatia Uganda bao la kwanza! Taifa Stars 0-1 Uganda

No comments:

Post a Comment