Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, July 7, 2013

FLORA MBASHA, SARAH K NA MARTHA MWAIPAJA WAFUNIKA TAMASHA LA MATUMAINI 2013


Flora Mbasha na kundi lake wakiingia uwanjani kutoa burudani.
...Wakiwapa burudani mashabiki.…

JESSICA KAZINI...

Mwimbaji nyimbo za injili Jessica akiwaburudisha…
Nyomi ikiimba sambamba na Enock wimbo wa Zunguka.…

WANAGOSPEL EDSON NA AMBWENE MWASONGWE WAKIBURUDISHA

Waimba injili Ambwene Mwasongwe (kulia) na Edson (kushoto) wakiimba sambamba katika Tamasha la Matumaini 2013.
Edson kazini.…PICHA ZOTE NA GPL

No comments:

Post a Comment