Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 13, 2013

RAYUU AVISHWA PETE YA UCHUMBA


Rayuu ambaye ni muigizaji wa filamu tayari amechumbiwa na mwenyewe kuamua kuweka picha facebook. SWP ilipomuuliza kama ni kweli au anatania, alikiri kuwa ni kweli na mwanaume aliyemchumbia ni yule yule aliyempa stress wiki kadhaa zilizopita na Rayuu mwenyewe kupost picha facebook akisema anavuta bangi(weed) ili kuondoa stress za mapenzi kwa kumpenda mtu tangu utotoni ila amegundua mtu huyo hampendi. Rayuu alipoulizwa ndoa yake imepangwa kuwa lini hakujibu mpaka tunaandika habari hii. Picha chini inaonyesha actress huyo akiwa na pete yake aliyovishwa..

Hongera na kila la kheri Rayuu

No comments:

Post a Comment