Diamond
baada ya kuwasili Kenya alipokelewa kwenye gari hili
Diamond Platinumz ambaye sikukuu ya Idd
alifanya show ndani ya Mombasa, unaambiwa ticket zote za show hiyo ziliisha
kabla hata muda wa show haujafika. Habari kutoka kwa Hudda Monroe ambaye pia
yupo Mombasa kwa ajili ya show,amesema kwamba ticket za kuingia KICC grounds
kuona show ya Diamond are sold out. Big up to Diamond na crew nzima iliyondaa
show hii.
No comments:
Post a Comment