Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, August 24, 2013

ANGALIA PICHA:::MSANII HEMED APATA AJALI YA GARI JANA USIKU



Yalikuwa ni majira ya usiku wakati Hemedy PHD anamrudisha mshkaji wake Gelly wa Rhymes home kwake Sinza ndipo mshkaji wakati anarudi kwake ndipo ikatokea hii ajali mbaya kwa kugonga kalivati lililopo pembeni ya mtaro hapa maeneo ya Kijitonyama Kisiwani. Hemedy ameumia kwenye paja na kifuani ambapo staring ilimbana, kwa sasa bado yuko hosp anaendelea na matibabu.CHANZO BONGO CLANTZ


No comments:

Post a Comment