Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, August 25, 2013

Breaking NEWZZZ....KITU KINACHO SADIKIKA KUWA NI BOMU KIMETEGWA kanisa la kijitonyama Kkkt ,POLISI WASHAFIKA ENEO LA TUKIO


HILI NDILO KANISA LINALO DAIWA KUTEGESHWA KITU HICHO
Kinachoninginia kwa hiyo transfoma inasadikiwa ni bomu...
Polisi wamefika tayari


TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA HIVI PUNDE
BAADA YA UCHUNGUZI NA TAARIFA RASIMI TOKA POLIS

No comments:

Post a Comment