Sikukuu kila mtu huwa anapenda kuisherekea kitofauti zaidi. Hivi ndivyo muigizaji Wema Sepetu aliamua kuisherekea kwa
upande wake, alitumia muda wake wa sikukuu ya Eid kukaa pamoja na
wazazi wake wote wawili na kusherekea pamoja nyumbani kwao ikiwa ni
pamoja kupiga nao story nyingi. Picha kama hii haijawahi kutoka
ikimuonyesha Wema akiwa na wazazi wake wote wawili. Mara nyingi
anakuwaga na mama yake na mara moja alionekana kuwa na baba yake.
MUFTI MKUU TANZANIA KUJA NA ZIARA YA KUIMARISHA UONGOZI MKOA WA DODOMA
-
Mufti Mkuu Sheikh Abubakar Zubeir amesema Baraza limepanga kufanya ziara
rasmi mkoani Dodoma, ikiwa ni sehemu ya mpango wa kutembelea mikoa yote 26
nc...
12 hours ago
No comments:
Post a Comment