Raz B alikuwa akifanya onyesho katika moja ya ukumbi maarufu wa Starehe, na alipatwa na maswahiba haya wakati akijaribu kuamulia ugomvi.
Story inaweka wazi kuwa, baada ya kupigwa chupa, Msanii huyu alikwenda hospitali na kutibiwa jeraha na kurudi kulala ila hakuweza kuamka siku inayofuata kutokana na kuzidiwa ambapo alipelekwa hospitali na hadi wakati hu anapumulia mashine.NA SAMMISAGO
No comments:
Post a Comment