Uncle michuzi asante kwa kuweka ile habari juzi ya kukamatwa mtu na madawa ya kulevya mwenye pasipoti ya Tanzania.
Sasa
after the incident ya watu ambao kwa 100% tuna uhakika ni wanigeria
kukamatwa na sembe na wengine kua involved kwenye cases tofauti zikiwemo
human traficking and prostitution sasa wamilik wa condominiums (aina
ya hosteli) mbali mbali zinazomilikiwa na Ridzuan Properties
wamepitisha utaratibu huu ya kwamba hawataki tena waafrika kukaa kwenye
nyumba zao. CHANZO MICHUZI BLOG
Hivyo
mzazi mwenye mpango wa kumleta mtoto wake huku au mwanafunzi mwenye
mpango wa kukaa na kusoma huku especially Taylors university, Sunway
university, Inti university na Segi college Subang tunawashauri ku-book
hostel za chuo mapema wasitegemee kukaa nje ya hostel.
No comments:
Post a Comment