Gazeti la Jamhuri limeendelea kutaja majina ya wauza unga wiki hii likija na majina na matatu na makazi ya wahusika. Wapo waliotajwa kwa namba za magari yao.
Yapo majina 240, wako wahusika kutoka nchi za nje, lakini zaidi ya 95% ni watz
Miongoni mwao wamo Mdogo wa Rostam Azziz, aitwaye Assad Azziz (No 23 kwenye list) na mtoto wa Amatus Lyumba aliyekuwa BOT, Morine Amatus Lyumba(No 66 kwenye list).chanzo jamii forum
Nimeyascan majina kutoka kwenye gazeti hapa chini:
Arusha Yageuza Bodaboda Kuwa Fursa Mpya
-
Na Pamela Mollel,Arusha.
Jiji la Arusha limeanza ukurasa mpya katika sekta ya bodaboda baada ya Mkuu
wa Wilaya ya Arusha, Joseph Modest Mkude, kuzindua m...
8 hours ago

No comments:
Post a Comment