Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 20, 2013

MSANII DIAMOND AKERA MASHABIKI WAKE KWA KUPIGA PICHA AMBAYO KAONYESHA ISHARA MBAYA ITAZAME HAPA

Diamondi apost picha katika instagram ambayo alipiga akiwa na mkali wa miondoko ya HIP HOP ajulikanae kama R.O.M.A mkatoliki ikionyesha KIDOLE cha kati kuhashilia kuwatukana waitazamayo hiyo picha na sijui ni kuwatukana mashabiki wake au vipi ila inareportiwa awakera mashabiki zake na wamemtaka aiondoe mtandaoni mara moja na kuwataka radhi kwa kile kilichodaiwa kuwa ni kujivunjia HESHIMA yake kwa kasi sana pasipo yeye kujijua nini anakifanya.....

No comments:

Post a Comment