Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, August 24, 2013

MSANII MONALISA ASHEHEREKEA BIRTHDAY YAKE KWA KUOGESHWA NA POMBE


Yvonne Cherryl(Monalisa) ambaye ni actress maarufu Swahiliwood juzikati alifanyiwa surprise ya kumwagiwa Shampeni na wafanyakazi wa radio Times fm ya jijini Dar es salaam. Siku hiyo wafanyakazi hao walimpigia simu Monalisa wakimtaka aende ufukwe wa Coco Beach na yeye kwenda akijua ameitiwa kampani ya kawaida tu. Lakini alipofika akaanza kumwagiwa shampeni na maji huku wakimwimbia wimbo wa hAappy Birthday kumbe ilikuwa siku yake ya kuzaliwa actress huyo akitimiza miaka 32. Angalia picha ilivyokuwa.............

No comments:

Post a Comment