Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, August 7, 2013

RAIS DKT. KIKWETE NA MAMA SALMA WAMJULIA HALI MH.JOHN MOMOSE CHEYO


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakimjulia hali mwenyekiti wa UDP Mh.John Momose Cheyo aliyelazwa katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.Katikati ya Rais na Mama Salma ni Mjukuu wa  Mheshimiwa Cheyo anayejulikana kama Gabriel Cheyo. (Picha Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment