skip to main |
skip to sidebar
WAZIRI WA KILIMO NA MIFUGO AZINDUA MAONESHO YA NANENANE KITAIFA, DODOMA
Waziri
wa Kilimo na Mifugo, Eng. Christopher Chiza akiwahutubia Washiriki wa
Maonesho ya Nanenane na Wananchi kutoka Mikoa jirani na Dodoma(hawapo
pichani)wakati wa uzinduzi rasmi wa Maonesho hayo katika Viwanja vya
Nzuguni, Mkoani Dodoma leo Agosti 01, 2013(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi
la Magereza).
Afisa
Mtendaji Mkuu na Mshauri Mwelekezi katika Mradi wa Utengenezaji Kofia
Ngumu katika Gereza Kuu Ukonga, Bw. Alpherio Nchimbi(kushoto)akitoa
maelezo kwa Waziri wa Kilimo na Mifugo, Eng. Christopher Chiza
(kulia)namna Kofia hizo zilivyonaubora alipotembelea Banda la Magereza
leo Agosti 01,2013 (wa tatu toka kulia) ni Kamishna wa Magereza
anayeongoza Divisheni ya Urekebishaji, Deonice Chamulesile(Picha na
Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Afisa
Mtendaji Mkuu na Mshauri Mwelekezi katika Mradi wa Utengenezaji Kofia
Ngumu katika Gereza Kuu Ukonga, Bw. Alpherio Nchimbi(kushoto)akitoa
maelezo kwa Waziri wa Kilimo na Mifugo, Eng. Christopher
Chiza(kulia)namna Kofia hizo zilivyonaubora alipotembelea Banda la
Magereza leo Agosti 01,2013(wa tatu toka kulia) ni Kamishna wa Magereza
anayeongoza Divisheni ya Urekebishaji, Deonice Chamulesile(Picha na
Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Waziri
wa Kilimo na Mifugo, Mhe. Eng. Christopher Chiza akiangalia Kiatu cha
ngozi kilichotengenezwa katika Kiwanda cha Magereza kilichopo Gereza
Karanga, Moshi leo Agosti 01, alipotembelea Banda la Magereza katika
Viwanja vya Nzuguni, Mkoani Dodoma(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la
Magereza).
Waziri
wa Kilimo na Mifugo, Mhe. Eng. Christopher Chiza(wa pili
kulia)akiangalia mazao mbalimbali ya Kilimo alipotembelea katika Banda
la Jeshi la Magereza leo Agosti 01, 2013(wa tatu kushoto) ni Kamishna wa
Magereza anayeongoza Divisheni ya Urekebishaji wa Wafungwa, Dionice
Chamulesile(wa kwanza kulia) ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Rehema
Nchimbi(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
No comments:
Post a Comment