YANGA YATWAA NGAO YA JAMII BAADA YA KUIFUNGA AZAM FC BAO 1-0 ANGALIA PICHA
Wachezaji
wa Yanga wakiiibusu ngao ya jamii waliyotwaa baada ya kuifunga Azam bao
1-0 katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Taifa leo
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mecky Sadiq Mecky akimkabidhi Nahodha wa
Yanga ngao ya jamii baada ya kuifunga Azam FC bao 1-0 katika mchezo
uliochezwa Taifa leo NA LENZI YA MICHEZO
WALIMU WA ZANZIBAR WATEMBELEA TANGANYIKA DC
-
Walimu kutoka Zanzibar wamewasili Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika kwa
ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu na wataalam wa elimu, ili
kuimarisha mbi...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment