Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, September 25, 2013

HATIMAYE CHINA YARUHUSU MATUMIZI YA FB SEHEMU NDOGO YA SHANGHAI TU.


HATIMAYE CHINA YARUHUSU MATUMIZI YA FB SEHEMU NDOGO YA SHANGHAI TU. Baada ya kuzuia kwa muda mrefumatunizi ya mitandao ya jamii nchini China, hatimaye kupitia makala ya South China Morning Post serekali ya China imeruhusu baadhi ya mitandao ya kijamii kama vile Facebook, twitter na New York times kuanza kutumika kwenye sehemu ndogo yenye square miles 17 ndani ya mji wa Shanghai pekee.
Kwa mujibu wa makala ya South China Morning Post, eneo hilo lina mipango ya kutumika kibiashara zaidi, sababu hi imepelekea mitandao hiyo ya kijamii kuruhusiwa ili kuleta ufanisi zaidi wa kibiashara mahali hapo.
Currently, Facebook and Twitter are among websites that remain blocked by the government’s censorship system, casually referred to as the Great Firewall of China. Attempts to access Facebook result in an error message: “Network Timeout.”

No comments:

Post a Comment