Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, September 21, 2013

HUYU NDIO MTANGAZAJI WA KISS FM ALIYEFARIKI DUNIA KATIKA TUKIO LA UVAMIZI LILILOTOKEA JIJINI NAIROBI NCHINI KENYA.



Mtangazaji wa habari katika kituo cha redio cha Kiss FM kwa jina la ''Ruhila Aditya'' ni miongoni mwa waliopoteza maisha yao katika shambulizi hilo.
 

 
PICHA enzi za
uhai wake ''Ruhila Aditya''

No comments:

Post a Comment