Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, September 10, 2013

KIGGI MAKASSI AELEKEA INDIA MATIBABU YA GOTI



kigi_makasi_c6386.jpg
Kiungo wa timu ya Simba, Kiggi Makassi anaelekea nchini India kwa ajili ya matibabu ya goti lake linalomsumbua kwa muda mrefu.
Kiggi ambaye alipata majeruhi katika ligi msimu uliopita, anaondoka jana na ndege ya saa 10:45 jioni kwenda kufanyiwa upasuaji wa goti lake.

No comments:

Post a Comment