Kuna habari zimezagaa kwa wabongo waishio China inasemekana aliyekuwa Miss Kiswahili 2009 wengi tukimjua kwa jina la Rehema Fabian amekamatwa na unga nchini humo.
Marafiki
wa karibu wa Rehema ambao waliomba nisiwataje wamesema kuwa
Rehema aliondoka kuelekea Shaghai wiki moja iliyopita halafu juzi ndio
wao walipewa habari kuwa rafiki yao kakamatwa na kosa jingine alilokuwa
nalo ni aliova stay kwasababu VISA yake ilikuwa imekwisha kitambo. Kama
kuna ndugu yake yoyote ameona habari hii mnaombwa mfikishieni habari
hivi mama yake mzazi ili ajue.
From:djchoka
No comments:
Post a Comment