BlackBerry Messenger, wengi wakiifahamu kama BBM sasa kutumika kwenye simu zote za smartphone.
Kwa simu zinazotumia android kama operating system (OS) zitaweza kudownload app ya BBM kwanzia September 21 na wale wanaotuimia iphone (iOS) wataweza kupata app ya BBM kwanzia September 22.
BBM itapata upinzani mkubwa kutoka kwenye instant messenger nyingine kama Whatsapp, Viber, Wechat na nyingine nyingi.
Baadhi ya sifa za BBM ni watumiaji wake wataweza kutumia instant message kama ilivyo kwenye whatsapp, pia wataweza kutumiana video, picha pamoja na nyimbo.
BBM lets you post a personal message, profile picture and your current status, and lets your contacts know instantly in Updates.
Every BBM user has a unique PIN that maintains your privacy, so you don’t have to give out your phone number or email address to a new or casual contact.
No comments:
Post a Comment