skip to main |
skip to sidebar
UZINDUZI WA KITABU CHA MWONGOZO WA UTAWALA BORA.
Naibu Waziri Wizara ya Katiba na
Sheria Angellah Kairuki akizindua Kijitabu cha "Mwongozo wa Utawala
Bora" uliofanyika makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala
Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri Wizara ya Katiba na
Sheria Angellah Kairuki akionesha kijitabu cha "Mwongozo wa Utawala
Bora" alichokizindua leo makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na
Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam.(P.T)
Naibu Waziri Wizara ya Katiba na
Sheria Angellah Kairuki akiongea na washiriki waliohudhuria uzinduzi wa
kijitabu cha "Mwongozo wa Utawala Bora" leo katika ofisi za Tume ya Haki
za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) zilizopo mtaa wa Luthuli jijini Dar
es Salaam. Kulia ni Mwenyeki wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala
Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji Kiongozi Msaafu).
Mwenyeki wa Tume ya Haki za Binadamu
na Utawala Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji Kiongozi Msaafu)
akimkaribisha mgeni rasmi Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria
Angellah Kairuki na wageni waalikwa kwenye hafla ya uzinduzi wa Kijitabu
cha "Mwongozo wa Utawala Bora" uliofanyika makao makuu ya Tume ya Haki
za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es
Salaam. (Katikati) ni Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah
Kairuki, Wa kwanza kushoto ni Makamu Mwenyeki wa THBUB Mahfoudha Alley
Hamid.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora (THBUB) Mary Massay akiwasisitiza washiriki wa
hafla ya uzinduzi wa Kijitabu cha "Mwongozo wa Utawala Bora" uliofanyika
katika ofisi za THBUB zilizopo mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es
Salaam. Wakwanza ni ni Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah
Kairuki (katikati) ni Mwenyeki wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala
Bora (THBUB) Amiri Manento (Jaji Kiongozi Msaafu).
Picha ya pamoja ya Naibu Waziri Wizara
ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki baada ya kuzindua Kijitabu cha
"Mwongozo wa Utawala Bora" uliofanyika makao makuu ya Tume ya Haki za
Binadamu na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es
Salaam.
(Picha zote na Eleuteri Mangi- Maelezo)
No comments:
Post a Comment