Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisoma hotuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Sita la Kimataifa la
Madktari Wanafunzi, lililofanyika sambamba na Mkutano wa nne wa Chama
cha Madaktari Wanafunzi TAnzania (TAMSA) lililofanyika jijini Mwanza
leo, Oktoba 6, 2013. Picha na OMR
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea Cheti kutoka kwa Mratibu wa Kongamano la Sita la Kimataifa la
Madktari Wanafunzi, lililofanyika sambamba na Mkutano wa nne wa Chama
cha Madaktari Wanafunzi TAnzania (TAMSA) ambaye ni mwanafunzi wa Chuo
cha Hubat Kairuki cha Dar es Salaam, Helga Mutasingwa, ikiwa ni sehemu
ya kutambua mchango wa Mhe. Makamu katika kufanikisha Kongamano hilo.
Makamu alipokea Cheti hicho leo Oktoba 6, 2013 baada ya kufungua rasmi
Kongamano hilo jijini Mwanza. Picha na OMR
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
Waziri wa Afya, Dkt. Hussein Mwinyi (kulia) na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza,
Eng. Evarist Ndikilo, wakijumuika kuimba wimbo wa Taifa kabla ya
kufunguliwa kwa Kongamano hilo.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza, Anthony Dialo, na baadhi
ya viongozi baada ya kufungua Kongamano hilo, jijini Mwanza leo. Picha
na OMR
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi Madaktari, baada ya
ufunguzi rasmi wa Kongamano hilo.
No comments:
Post a Comment