Rais
Jakaya Kikwete kulia akimpokea Balozi wa Japan nchini Masaki Okada
(kushoto). Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya
Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA –
Nakayama) wakati walitembelea shule hiyo leo iliyopo wilayani Rufiji
mkoa wa Pwani.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete(kulia) akizungumza jambo na Balozi wa Japan
nchini Masaki Okada(kushoto ). Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule
ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira
hatarishi(WAMA – Nakayama) Ramadhani Dau wakati walitembelea shule hiyo
leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.(P.T)
Rais
Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwalimu wa masomo ya Kiingereza na Uraia
wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika
mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) Sophia Shafii wakati alipotembelea
shule hiyo leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete( wa tatu kushoto) na Balozi wa Japan nchini
Masaki Okada( wa pili kulia) wakitia saini mkataba wa msaada wa
kutayarisha vifaa vya maabara, ujenzi wa zahanati na kutoa mtambo wa
maji wa kutumia jenereta wenye thamani milioni 170 kwenye Shule ya
Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira
hatarishi(WAMA – Nakayama) . Kulia wa kwanza ni Rais Jakaya Kikwete na
kushoto wa pili ni Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo ,Ramadhani Dau .
Kushoto wa kwanza ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Suma Mensah. Hafla fupi
hiyo iliyafanyika leo katika shule hiyo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa
Pwani.
Rais
Jakaya Kiwete (katikati) alipokuwa akitembelea Shule ya Sekondari ya
Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA –
Nakayama) leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani wakati wa ziara
yake .Kushoto ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Suma Mensah na kulia ni
Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo Ramadhani Dau.
Rais
Jakaya Kiwete akisoma moja ya kitabu cha somo la Fizikia katika mkataba
ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika
mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa
Pwani wakati alipotembelea shule hiyo katika ziara yake.Kulia ni
Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Suma Mensah.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete(aliyevaa kitenge) akizungumza jambo na Balozi wa
Japan nchini Masaki Okada( wa pili kushoto) wakati alipokuwa
akitembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na
wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) Ramadhani Dau
wakati walitembelea shule hiyo leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa
Pwani.
No comments:
Post a Comment