Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, October 1, 2013

MSANII MACK 2 B(MALIK SIMBA)AZIKWA LEO,WASANII WALALAMIKIWA KWA KUTOJITOKEZA KWA WINGI KWENYE MSIBA


Msanii MAC 2 B amezikwa mchana huu leo katika makaburi ya YOMBO MAKANGALAWE  wasanii waliojitokeza kumzika ni wachache sana tofauti na misiba mingine ya wasanii inavyokuwa, ''hii kitu yakuchagua watu wakuwazika sio nzuri kabisa alisikika mdau mmoja akisema'' wasanii wana ubakuzi na hawana ushirikiano.ukiangalia hapa kuna wasanii wachache sana waliojitokeza kumzika mac 2 b. Na hawa ndio wasanii niliowaona leo na watu maalufu katika msiba wa mac 2 b. CRAYZE BUFA,PROD LAMAR,MABAGA FRESH,MOX,KIMALIO,HK,RICH ONE na DAZ BABA .
wasanii wengine mko wapi jaman sio vizuri kabisa.

No comments:

Post a Comment