Gari
namba T606 BJB lilolokuwa linaelekea Ifunda kutoka stand kuu ya Iringa
limepata ajali ya kuligonga Lori namba T 234 CLU Mali ya T.H Clements
& Son LTD eneo la Kitwiru, wakati Dereva wake alipojaribu kulipita
Lori hilo bila mafanikio watu watatu wamejeruhiwa.
Picha na Said Ng'amilo.
Picha na Said Ng'amilo.
No comments:
Post a Comment