Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, December 30, 2013

EAGLE ENTERTAINMENT CHINI YA MADAME YUSTER NYAKACHARA WAMEPANIA KUIBUA NA KUKUZA ZAIDI VIPAJI KATIKA SANAA YA FILAMU TANZANIA



Madame Yuster Nyakachara ameongea na mtandao wetu huu amesema kwamba kwa sasa anapigana kwa nguvu zote ili aweze kufikia namba moja kwenye soko la filamu Tanzania,na pia kuweza kuifanya kampuni yake ya eagle entertainment kufahamika zaidi katika utengenezaji wa filamu nchini Tanzania.Pia ameongeza kwa kusema kuwa anataka kuwasaidia wasanii wadogo kwa nguvu zote ili waweze kufahamika na kukuza vipaji vyao hivyo basi amewaomba wasanii wadogo wasisite kumtafuta na aweze kuwasaidia kufikia malengo yao.



TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)


No comments:

Post a Comment