Msanii wa THT
Lameck Ditto amesema ingawa anafanya muziki pia anafanya shughuli nyingi
za ujasiriamali kikiwemo kilimo na ufugaji.
Ditto akiwa katika banda la kuku
Akizungumza na
Bongo5 leo, Ditto amesema ni muda mrefu sana amekuwa akijishughulisha na
kilimo na ufugaji,shughuli ambazo zinamwingizia kipato kwa kuendesha
maisha yake.
Hivi karibuni Ditto amekuWA akipost picha kwenye Instargam kuonyesha harakati zake za kilimo na ufugaji.
Mfugo wa kuku
Ditto akiwa shambani
TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)
No comments:
Post a Comment