Eagle Entertainment Chini ya CEO Madam
Yuster Nyakachara Wamemaliza kushoot Filamu yao mpya iendayo kwa jina la “MAJUTO
SI HASARA”ambayo itaachiwa mda si mrefu katika soko la Filamu za
kitanzania.Ndani ya Filamu hiyo kuna mastaaa kibao walioshirikishwa kama Slim Omary,Jacklin Wolper na wengine
kibaoo.Eagle Entertainment ni kampuni mpya ya utengenezaji Filamu nchini Tanzania
na ndani ya filamu hiyo wameonyesha uwezo wa hali ya juuuu katika utengenezaji
filamu,kwa kutumia uzoefu mkubwa na vifaa vya kisasa vilivyotumika.Madame
Yuster Nyakachara amewaomba wapenzi wa filamu kutoa mchango wao wa hali na mali
kuisapoti Filamu hii mpya pindi tu itakapoachiwa.
Magazetini Leo Desemba 25, 2025
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Copyright 2007-2021 @KAJUNASON BLOG
1 hour ago


No comments:
Post a Comment