Muda
mchache uliopita katika hali isiyo ya kawaidia maeneo ya Ubungo mtu
mmoja ameonekana juu ya mnara wa simu akitaka kujitupa chini kisa maisha
yamemshinda, mtu huyo pia alidai anataka kumuona Rais.. alisikika
akiyasema maneno hayo... tazama hapa tukio kamili
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia jinsi jamaa huyo anavyo taka kujitupa kutoka juu
Kikosi cha Polisi kikifanya jitihada za kupanda juu na kumnusuru mtu huyo
Watu wengi wakiwa wanashuhudia tukio hilo
kazi ya uokoaji inaendelea sasa
Watu wanazidi kuongezeka kushuhudia tukio hilo
Kikosi cha polisi wakiwa wanakaribia kumtoa mtu huyo ambeye alikuwa juu
Picha zote na Dar es salaam yetu Blog
No comments:
Post a Comment