Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, December 28, 2013

LINEX AKASIRISHWA NA MASWALI MENGI KUHUSU JACK CLIEF MODEL ALIYEONEKANA KWENYE VIDEO YAKE YA KIMUGINA BAADA YA MODEL HUYO KUDAIWA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA NCHINI CHINA.



Kufuatia madai mbalimbali juu ya Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya china na wengi kumhisi ni Jack Clief,Msanii Linex ambaye amefanya video na msichana huyu video ya wimbo wake wa Kimugina hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa facebook,,

TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI ZA KILA SIKU,(USIPITWEEEEEEEE)

Screenshot_2013-12-28-18-29-47

No comments:

Post a Comment