mkutano na wakulima wa zao la nanasi katika kata ya mkongoro kuhusu kuunda Ushirika wenye nguvu ili kuwa na soko la uhakika. Pia umuhimu wa kujiunga na hifadhi ya jamii kujiwekea akiba na kufaidika na mafao ya muda mfupi kama mikopo nafuu kupitia saccos. Wakulima 127 wamejiandikisha Jana peke yake.
TANZANIA IMEPIGA HATUA KWENYE MAWASILIANO – MAJALIWA
-
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi
zinazopiga hatua kubwa kwenye sekta ya mawasiliano na teknolojia ya habari.
Amesema ...
42 minutes ago
No comments:
Post a Comment