Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda bajaji tayari kwa
kuelekea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Luanda
Nzovwe Mwanjelwa jijini Mbeya akitokea ofisi za CCM mkoa wa Mbeya,
huku Nape Nnauye naye akijiandaa kuinga kwenye bajaji. Kinana
akiongozana na Ujumbe wake pamoja na viongozi wa mkoa wa Mbeya na
wilaya leo wametumia usafiri huo ili kuonyesha kwamba Chama hicho ni
chama cha wananchi wa kawaida ambao ni wafanyakazi na wakulima tofauti
na wenzetu wanaojifanya wanawatetea lakini wanakuja na Helikopta na
kuwachangisha michango ya fedha kisha wanatokomea zao. Katika msafara
huo pia yupo Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa
Kimataifa na Mbunge wa kuteuliwa.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE-MBEYA) Msafara ukielekea kwenye mkutano Vijana
wa Mwanjelwa wakiuzuia msafara wa Kinana wakati alipokuwa akielekea
uwanja wa Luanda Nzovwe kwenye mkutano jambo lililofanya Abdulrahman
Kinana na Nape Nnauye watembeee kwa mguu Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye wakitembea kwa miguu katika eneo la Mwanjelwa huku vijana wakiwashangilia Abdulrahman Kinana akiwa katika bajaji iliyomchukua Nape Nnauye akiwa katika Bajaji iliyombeba Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto na Nape Nnauye Katibu wa
NEC Siasa, Itikadi na Uenezi wakiwapungia mikono wananchi wakati
wakielekea kwenye mkutano. Dr.
Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Mbunge
wa kuteuliwa akizungumza na wananchi katika mkutano huo. Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wakiwa katika meza kuu. Umati wa watu waliohudhuria katika mkutano huo. Kada wa CCM aliyejiunga na CCM hivi karibuni akitoka chama. cha CHADEMA Braison Mwasimba akiunguruma katika mkutano huo Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye akimwaga sumu katika mkutano huo. Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye akiwaimbisha wananchi katika mkutano huo. Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Michael Senka mashairi jukwaani wakati mkutano huo ukiendelea leo jioni. Mkuu
wa mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akitolea ufafanuzi wa mbolea ya
Minjingu ambayo imekataliwa na wananchi wa mkoa wa Mbeya huku Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza kwa makini Kada wa Chama cha Mapinduzi Tambwe Shitambala akizungumza katika mkutano huo.
DKT. NCHEMBA AMUAGA BALOZI WA MAREKANI NCHINI
-
Na Benny Mwaipaja, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa
Tanzania ina thamini mchango mkubwa wa Taifa la Marekani ka...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment