Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa katika Viwanja vya Ikulu
jijini Dar es Salaam, jana usiku wakati wa sherehe za maadhimisho ya
miaka 52 ya Uhuru, alipomwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika
kuhitimisha sherehe hizo. Kushoto kwake ni Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohamed Ali Shein na mkewe Bi Mwanamwema Shein.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
akisalimiana na baadhi ya wageni waalikwa katika Viwanja vya Ikulu
jijini Dar es Salaam, jana usiku wakati wa sherehe za maadhimisho ya
miaka 52 ya Uhuru, alipomwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika
kuhitimisha sherehe hizo. Kushoto kwake ni Rais wa Zanzibar, Dkt.
Mohamed Ali Shein na mkewe Bi Mwanamwema Shein.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
na Rais wa Zanzibar, Dkt. Mohammed Shein, wakifurahia burudani ya ngoma
za asili iliyokuwa ikiendelea jukwaani wakati wa hitimisho la sherehe
za miaka 52 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika kwenye Viwanja vya
Ikulu jijini Dar es Salaam jana usiku. Kushoto ni Mke wa Makamu wa Rais
Mama Asha Bilal na (kulia) ni Mke wa Rais wa Zanzibar, Bi Mwanamwema
Shein.
Wasanii
wa ngoma ya asili ya Kabila la Wahaya 'Kakau Band', wakitoa burudani
jukwaani wakati wa sherehe hizo zilizohitimishwa kwenye Viwanja vya
Ikulu jijini Dar es Salaam.
Kikundi
cha ngoma za asili kutoka mkoa wa Katavi, kikitoa burudani jukwaani
wakati wa sherehe hizo zilizohitimishwa kwenye Viwanja vya Ikulu jijini
Dar es Salaam. Picha na OMR |
No comments:
Post a Comment