Wanafunzi
wenye Ulemavu wa kusikia(viziwi)pamoja na walimu wao wakiimba wimbo wa
Taifa kwa kutumia lugha ya alama wakati wa uzinduzi Mpango maalumu wa
kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es
Salaam. Mitandao ya simu itakayotumika ni M-Pesa namba 0768727314 na
Tigo Pesa namba
Meya
wa wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda akizungumza kwenye uzinduzi
Mpango maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya
Kinondoni Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Elimu Manispaa ya hiyo, Hussein
Ramadhani na Mganga Mkuu wa Manispaa hiyo aliye mwakilisha Mkurugenzi….
Mitandao ya simu itakayotumika ni M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa
namba
Mwenyekiti
wa Vitengo vya Elimu Maalum katika Manispaa ya Kinondoni,Lessly Nyambo
akizungumza kwenye uzinduzi Mpango Maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye
ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam.
Meya
wa wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda akikata utepe kuzindua
Mpango maalumu wa kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya
Kinondoni Dar es Salaam kwa kutumia njia ya Mitandao ya simu za
mkononi,M-Pesa na Tigo Pesa. Mitandao ya simu itakayotumika ni M-Pesa
namba 0768727314 na Tigo Pesa namba
Meya
wa wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda akionyesha simu za mkononi
zitakazo tumika kuchangisha fedha kwa ajili ya Mpango maalumu wa
kuchangia wanafunzi wenye ulemavu katika Manispaa ya Kinondoni Dar es
Salaam baada ya kuuzindua rasmi. Mitandao ya simu itakayotumika ni
M-Pesa namba 0768727314 na Tigo Pesa namba 0712200022.
No comments:
Post a Comment