Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 21, 2014

HUYU NDIYE BINTI ANAYEDAI KUWA ANA MIMBA YA MSANII DAVIDO

Screen Shot 2014-01-20 at 12.15.00 PM
Hii sio mara ya kwanza kusikia kajitokeza binti flani na kudai kazaa au ana ujauzito na staa flani wa muziki, movie, siasa au kingine chochote.
Sasa yule staa wa Nigeria ambae ndio yuko kwenye headlines na Diamond Platnums kutokana na kolabo yao ya ‘number 1 rmx’ yaani Davido, kimemkuta hiki cha huyu binti.
Mrembo huyu anaeishi Uingereza anaitwa Shanielle Sunshhine na amenukuliwa akisema wazi anao ujauzito wa Davido, ni ujauzito wa mapacha ulio na umri wa karibia miezi sita ambao ulitokana na kukutana kwao mwaka 2013 wakati Davido alipofanya Tour Uingereza.
 TUNAOMBA BOFYA HAPA NA ULIKE PAGE YETU KWA HABARI NYINGI MOTOMOTO(USIPITWEEEE)
Pamoja na kwamba Davido amekua kimya wakati wote kuhusu hii ishu, Shanielle amesema anakaribia kutoa vithibitisho vyote kwamba huo ujauzito ni wa Davido.
davido 1
davido 3
davido 23

No comments:

Post a Comment