Phil Collins.
MWANAMUZIKI kutoka nchini England, Philip David Charles "Phil"
Collins leo ametimiza umri wa miaka 63. Collins ambaye pia ni mwimbaji,
mwandishi wa nyimbo, mpiga ala mbalimbali za muziki na mwigizaji
alizaliwa Januari 30, 1951 jijini London, England.Baadhi ya nyimbo za msanii huyo zilizotamba ni pamoja na: "You Can't Hurry Love", "You Can't Hurry Love", "You Can't Hurry Love", "Against All Odds (Take a Look at Me Now)", "Easy Lover" (With Philip Bailey), "One More Night", "Sussudio", "Separate Lives" (With Marilyn Martin), "A Groovy Kind of Love", "A Groovy Kind of Love", "Two Hearts", "Another Day in Paradise"KWA MSAADA WA GPL
No comments:
Post a Comment