Makamu
Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisalimiana na Mwenyekiti
wa Mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh.
Godfrey Zambi mara baada ya kuwasili katika ofisi za CCM Mkoa wa Mbeya
tayari kwa maadhimisho ya miaka 37 ya CCM zinazofanyika jumapili kwenye
uwanja wa Sokoine mkoani humo, Katika sherehe hizo Mgeni rasmi atakuwa
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Rais Dr. Jakaya Kikwete. PICHA
NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-MBEYA
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisalimiana na Nape Nnauye
Katibu wa NEC Itikadi. Siasa na Uenezi wakati alipowasili katika ofisi
za CCM mkoa wa Mbeya leo katikati niMwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisalimiana na Abdallah Bulembo Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akisalimiana na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Mbeya.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangula akiongozana na Mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya na Naibu Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika Mh. Godfrey Zambi kushoto na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi. Siasa na Uenezi
Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Mzee Philip Mangulaakisaini kitabu cha wageni

No comments:
Post a Comment