Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkaribisha Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali Samuel Albert
Ndomba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo Jan 27, 2014 kwa mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika mazungumzo na Mnadhimu Mkuu wa Majeshi, Luteni Jenerali
Samuel Albert Ndomba, wakati alipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini
Dar es Salaam, leo Jan 27, 2014 kwa mazungumzo.
Picha na OMR.
No comments:
Post a Comment