Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Kampuni ya Statoil
Tanzania Oystein Michelsen (wa pili kushoto) Meneja wa Biashara wa
Kampuni ya Statoil Tanzania, Oivind Holm (wa pili kulia) Mkuu wa Kitengo
cha Mawasiliano wa kampuni hiyo, Genevieve Kisanga (kulia) na Msaidizi
wa Mkurugenzi, Grace Usara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini
kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Statoil Tanzania Oystein
Michelsen, wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo Jan 28, 2014 kwa mazungumzo. Kushoto ni Meneja wa Biashara wa
Kampuni ya Statoil Tanzania, Oivind Holm.Picha na OMR
No comments:
Post a Comment