Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 28, 2014

HOOOT NEWSSS:::Mahakama yawapiga 'STOP' madiwani 9 Bukoba kushiriki kikao cha Baraza la Madiwani kesho


Kikao cha madiwani kilikuwa kifanyike kesho bila kuwepo dkt anatory aman lakini sasa tumepata document inayodaiwa ni zuio la mahakama kwa madiwani 9 kutoshiriki kikao hicho mpaka kesi ya msingi itakapoanza kusikilizwa feb 20,2014. aliyeweka pinagmizi mahakamani ni Chief Kalumuna diwani wa kata ya Kahororo ccm.

Hii inaweza kuvuruga kabisa mipango ya kumaliza mgogoro huo na ni kama kuchochea moto kwa petrol

napost zuio hilo kutoka mahakamani hivi punde.


No comments:

Post a Comment