Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea Sarafu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi yenye uzito ya g
16, kutoka kwa Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent
Rushaka (katikati) na Mshauri wa masuala ya Sarafu, Hassan Jarufu,
wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7,
2014 kwa ajili ya kumkabidhi Sarafu hiyo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent
Rushaka (katikati) na Mshauri wa masuala ya Sarafu, Hassan Jarufu,
wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7,
2014 kwa ajili ya kumkabidhi Sarafu ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya
Mapinduzi.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiitazama Sarafu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi yenye uzito
ya g 16, baada ya kuipokea kutoka kwa Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya
Tanzania (BoT) Jovent Rushaka wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014 kwa ajili ya kumkabidhi Sarafu
hiyo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na kwa Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya
Tanzania (BoT) Jovent Rushaka (kushoto) na Mshauri wa masuala ya Sarafu,
Hassan Jarufu baada ya kukabidhiwa Sarafu maalum ya kumbukumbu ya miaka
50 ya Mapinduzi yenye uzito wa g 16, baada ya kukabidhiwa Ofisini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment