Baada
ya mati moja kukutwa ikieleza kwenye mto mkundi,baadhi ya waanchi wa
Dumila wakiwa kando kando ya mto huo kuangalia kama kuna maiti
nyingine,marehmu huyo alisombwa na maji hayo akiwa shambani kwake
Mahakama ya Kijiji cha Magole nayo ilijaa maji na baadhi ya mafaili ya washitakiwa kudaiwa kusombwa na mafuriko hayo
Mama akiokoa vyombo vyake
Jamaa wakiopoa boda boda yao
Hatari watoto wakiogelea kwenye maji hayo ya mafuriko .
Wananchi wakihangaika kuokoa vyombo vyao Sehemu ya daraja iliyokatika.
Picha zote na Dustan shekidele,Morogoro
No comments:
Post a Comment