Hii ndio Helbopta iliyowakusanya wana Iringa uwanja wa Mwembetogwa |
Dr Slaa akiwasili katika kiwanja cha Mwembetogwa |
Mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akiwahutubia wana Iringa |
Mbunge Halima Mdea akiwahutubia wananchi wa jimbo la Iringa mjini |
Katibu mkuu wa Chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema) Dr Slaa akimpokea kada wa CCM ambae amehamia Chadema leo ,kulia ni kata wa TLP Bw Samson |
Dr Slaa akimpokea kada wa TLP Bw Samson Mrisho ambae amejiunga na Chadema leo uwanja wa Mwembetogwa |
Dr Slaa akihutubia katika mkutano wa hadhara katikauwanja wa Mwembetogwa mjini Iringa leo (picha na Francis Godwin Blog) |
No comments:
Post a Comment