Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, January 28, 2014

MPIGA TUMBA WA TWANGA PEPETA MCD AFARIKI DUNIA

 Mpiga tumba maarufu Masoud Mohamed MCD AMEFARIKI DUNIA USIKU HUU NYUMBANI KWAO MOSHI. Utaratibu wa safari ya Moshi kwa wanamuziki na wadau wengine unashughukikiwa Nguvu za wadau ni muhimu kwenye jambo hili tujipapase ili tuweze kumuenzi NGULI HUYU WA TUMBA

No comments:

Post a Comment