Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, January 4, 2014

PICHA::;MWILI WA ALIYEKUWA WAZIRI WA FEDHA DK WILLIAM MGIMWA WAWASILI NCHINI


Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk.William Mgimwa umewasili nchini kwa ndege ya shirika la Kenya (KQ) na kupokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na Serikali wakiongozwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue pamoja na Mawaziri mbalimbali na Wabunge.

No comments:

Post a Comment