Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 3, 2014

TAZAMA PICHA MCHEZAJI WA HULL CITY AKINYOA NYWELE ZAKE ZOTE KAMA AHADI BAADA YA BAADA YA KUFUNGA GOLI DHIDI YA FULHAM


Tazama picha zaidi...........




Kiungo wa Hull City Tom Huddlestone ametimiza ahadi yake ya kunyoa nywele zake iwapo angefunga bao baada kukaa miaka miwili na nusu bila kufunga,kiungo huyo aliifungia timu yake bao moja kwenye mchezo ambao timu yake iliifunga Fulham mabao 6-0.

No comments:

Post a Comment